Mwanaridha Kinyamal wa Kenya leo anatafuta medali nyingine nchini Italia May 31, 2018 Bingwa wa michezo ya Commonwealth Mita 800 Wycliffe Kinyamal leo anateremka dimbani Rome Golden Gala nchini Italia, akitaka kuweka medali...Read More
Mo Salah rasmi kushiriki kombe la dunia baada ya kupata matibabu May 31, 2018Mshambuliaji wa Misri na Liverpool Mohamed Salah atashiriki katika michuano ya kombe la dunia, baada ya daktari wa timu yake ya taifa kuse...Read More
Balotelli arudishwa tena kwenye timu ya taifa ya Italia May 31, 2018 Mwanasoka mwenye matata wa Italia Mario Balotelli amerudi kwa kishindo kwenye timu ya taifa ya soka ya Italia, na kuisaidia timu yake kufu...Read More
WHO ya waonya Watalii kuhusu Ebola DRC May 31, 2018 Shirika la afya duniani WHO limewatahadharisha watalii wa kimataifa kuhusu mlipuko wa Ebola nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo DRC ...Read More
Katibu mpya wa ccm azua gumzo nje ya chama May 31, 2018 SIKU moja baada ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM kumteua Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk. Bashiru Ally, kuwa ...Read More
SERIKALI YAKIRI EFD MASHINE ZINAKASORO May 30, 2018 Serikali imesema mashine za kielektroniki za (EFD) hazifanyi kazi kwa sasa nchi nzima ambapo imesambaza wataalamu nchi nzima kutatua ttai...Read More
MRITHI WA KINANA APATIKANA, YULE ALIYECHUNGUZA MALI CCM May 30, 2018 HALMASHAURI Kuu ya Taifa ya Chama Cha Ma pinduzi (NEC), imemteua Dk. Bashiru Ali kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho tawala akirithi nafasi y...Read More
Tatuu ya Raheem sterling ya zua Gumzo May 29, 2018 Mchezji soka wa England Raheem Sterling ametetea tattoo yake mpya ya bunduki kwenye mguu wake akisema ''ina maana kubwa sana...Read More
UN yaadhimisha miaka 70 ya ulinzi wa amani duniani May 29, 2018 Leo ni siku ya walinda amani wa Umoja wa Mataifa, UN ikilenga kutambua mchango wa wanawake na wanaume zaidi ya milioni moja waliohudum...Read More
ABDU KIBA: skendo azina nafasi kwangu mimi May 29, 2018MSANII wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Abdu Kiba, amesema maisha yake ya muziki hayasukumwi na skendo za mitandao ya kijaami, badala yake ...Read More
Wema sepetu azidi kubanwa mahakamani, Mama yake apatwa na kigugumizi May 29, 2018 Mama wa Msanii Wema Sepetu, Marium Sepetu, amebanwa mahakamani baada ya kuwasilisha nyaraka alizodai za matibabu ya msanii huyo India waka...Read More
Slaha ya kivita yaokotwa Arusha May 29, 2018 Bunduki ya kivita aina ya AK 47, ikiwa na risasi nne ndani imeokotwa ndani ya vichaka katika Kijiji cha Naan, Wilaya ya Ngorongoro mjini ...Read More
SUGU aja na kitabu cha kero za gerezani May 28, 2018 Katibu wa Chadema Kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga, amesema anaandika kero zilizopo katika Gereza la Ruanda mkoani Mbeya na baadaye Mbung...Read More
CCM roho juu mrithi wa Kinana May 28, 2018 Presha juu CCM. Ndivyo unavyoweza kusema kwa sasa, wakati vikao vya juu vya maamuzi vya CCM vikitarajiwa kuanza leo jijini Dar es Salaa...Read More
Maafisa wa NYS ngazi za juu nchini kenya wakamatwa kwa tuuma za ufisadi May 28, 2018 Vyombo vya usalama nchini Kenya vinamshikilia mkuu wa Huduma za Vijana wa Taifa (NYS) ikiwa ni sehemu ya uchunguzi wa wizi wa takriban D...Read More
Mwakyembe aunda chombo cha kusimamia haki za mabondia May 28, 2018 KUKOSEKANA chombo makini cha kusimamia mchezo wa masumbwi nchini kumesababisha ushindwe kupiga hatua, badala yake umezidi kurudi nyuma na...Read More
Seneta McCain akiri Marekani ilifanya kosa kubwa kuivamia Iraq kijeshi May 27, 2018 John McCain, seneta mwenye misimamo mikali amekiri japo kwa kuchelewa kuwa Marekani ilifanya makosa kuanzisha vita vya kuivamia kijeshi I...Read More
Mapigano ya Congo DRC yazuka uku watu 30 wakikadiriwa kuuwawa May 27, 2018 Watu 30 wameuawa katika mapigano kati ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na wanamgambo wa Mai-Mai mashariki mwa nchi hiyo. D...Read More
Kipa wa Liverpool awaomba msamaha mashabiki kwa uzembe alioufanya jana dhidi ya Madrid May 27, 2018 Mlinda mlango wa Liverpool Loris Karius akitokwa na machozi baada ya makosa aliyofanya kuigharimu timu yake. Mlinda mlango wa liverpool M...Read More
Klopp ashusha lawama kwa Ramos dhidi ya Mo Salah May 27, 2018 kocha wa Liverpool Juergen Klopp hakufurahishwa na jinsi nahodha wa Liverpool Sergio Ramos alivyomtendea Mohamed Salah na kusab...Read More
Zidane ni mmoja kati ya makocha nguli Dunia, awapongeza wachezaji wake kwa ushindi mnono May 27, 2018 Pamoja na Jose Mourinho na Pep Guardiola, Zidane amekuwa sawa na meneja wa Liverpool Bob Paisley na carlo Ancelotti , mtu amba...Read More
Donald Ngoma atua rasmi Azam fc May 26, 2018 Baada ya Yanga kutangaza kumtema Donald Ngoma kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya muda mrefu, uongozi wa Azam FC umemtambulisha rasmi ...Read More
Ulimwengu Asajiliwa na El Hilal ya Sudan Rasmi May 26, 2018 Mwanasoka wa Tanzania aliyewahi kuvichezea vilabu vya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na club ya AFC Eskilstuna ya Swed...Read More
Ronadhino anatarajia kufunga ndoa na wanawake wawili kwa mpigo May 26, 2018 Ikiwa ni moja ya habari za vituko kutoka Brazil, aliyekuwa mchezaji wa timu ya taifa ya Brazil na klau ya Barecelona ya Hispania Ronald...Read More
Ireland utoaji mimba ruksa May 26, 2018 Kura hiyo iliyopigwa kwa minajili ya kuondoa marufuku iliyomokwa mujibu wa uchunguzi wa maoni katika kura ya maoni ya kihistori...Read More
RIPORTI: kumbe urusi ndio iliidungua ndege ya Malaysia May 26, 2018 Wajumbe wa ujumbe maalum wa uchunguzi wa Ukraine wa shirika la ushirikiano na usalama barani Ulaya-OSCE- wakikagua eneo ilipoanguka...Read More
OCHA: Yemen Hali ya kibinadamu bado si shwari May 26, 2018 Hali ya kibinadamu nchini Yemen inazidi kuzorota kutokana kuongezeka kwa migogoro, vikwazo dhidi ya misaada ya kibinada...Read More
HOJA YA NAPE NNAUYE YA MLIZA CHARLES TIZEBA May 25, 2018 HOJA ya Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM), aliyoitoa Mei 16, wakati Bunge likijadili Bajeti ya Wizara ya Kilimo, imemfanya Waziri wa wiza...Read More
WAZAZI WASHINDA KESI DHIDI YA MTOTO WAO MAHAKAMANI May 25, 2018 WAZAZI wawili mjini New York nchini Marekani wamefanikiwa kushinda kesi waliyokuwa wakipambana nayo ili kumuondoa kijana wao mwenye umri...Read More
KANGI: ACHIMBA MKWARA KWA WABUNGE WATAKAOKWAMISHA MRADI WA STIGGLER’S GORGE May 25, 2018 Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Kangi Lugora amesisitiza kwamba serikali iko tayari kuwafunga jela wabunge wata...Read More
Simba fc yaongoza kuwa na washiriki wengi katika tuzo za Mchezaji Bora wa mwaka wa ligi May 24, 2018 Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) Tanzania Bara inatarajiwakufanyika Juni 23 mwaka huu ukumbi wa Mlimani City, Dar es ...Read More
UHUSIANO NA ISRAEL WAIBUA MJADALA BUNGENI LEO May 24, 2018 WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Balozi Augustine Mahiga, ameeleza sababu za Tanzania kuendeleza ushirikiano na ...Read More
BREAKING: Iniesta's amejiunga rasmi na klabu Vissel Kobe ya nchini jjapan May 24, 2018 Kiungo mkongwe wa Barcelona na Hispania Andres Iniesta amejiunga na klabu ya J.League Vissel Kobeya chini japan . Taarifa ya mshambulia...Read More
Rais wa Ghana; Mwenyekiti wa shirikisho la soka wa Ghana akamatwe May 24, 2018 Rais Akufo-Addo wa Ghana ameamuru kukamatwa mwenyekiti wa shirikisho la Soka la Ghana Kwesi Nyantekyi, ambaye pia ni ...Read More
Carlo Ancelotti rasmi kocha mpya Napoli May 24, 2018 Kocha wa zamani wa Real Madrid, PSG na meneja wa Bayern Munich Carlo Ancelotti amesaini mkataba wa miaka mitatu na Napoli. Carlo ...Read More
Unai Emery rasmi kocha mpya wa Arsenal May 24, 2018 Mmiliki wa klabu ya Arsenal amemtangaza Emery mwenye miaka 46 kuwa kocha mpya wa klabu ya Arsenal, baada ya aliyekuwa kocha wa klabu hi...Read More
Mawaziri Wa Marekani na China wakutana May 23, 2018 Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi amekutana na mwenzake wa Marekani Bw. Mike Pompeo mjini Washington na kubadilishana naye mao...Read More
Kumbe Azam fc imeipa ubingwa Simba fc msimu huu May 22, 2018 Na mwenda plus Msimu wa ligi kuu Tanzania bara2017/18 almaarufu VPL ukikaribia kufika ukingoni uku kila timu kwenye ligi hi...Read More