Header Ads

BannerFans.com

Ulimwengu Asajiliwa na El Hilal ya Sudan Rasmi

 Image result for thomas ulimwengu image

 Mwanasoka wa Tanzania aliyewahi kuvichezea vilabu vya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na club ya AFC Eskilstuna ya Sweden Thomas Ulimwengu baada ya kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu leo amesajiliwa na Timu ya El Hila ya Sudan。

Thomas Ulimwengu alikuwa nje ya uwanja akiuguza jereha lake la goti na baada ya kupona alijiunga na AFC Eskilstuna ya Sweden na kupata jeraha tena la goti liloendelea kumuweka nje ya uwanja tena kwa muda mrefu. Thomas Ulimwengu ameripotiwa kusaini mkataba wa mwaka mmoja, ikiwa zimepita siku chache toka zimalizike tetesi za kuwa alitaka kusaini club ya nchini Bosnia.

No comments

Powered by Blogger.