Header Ads

BannerFans.com

Tanzania ya itadharisha burundi





Tanzania imeeleza wasiwasi wake juu ya hatua ya Burundi kuitisha kura ya maoni jambo linalopingwa vikali ndani na nje ya nchi.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki , Augustine Mahiga ametahadharisha kuwa kura hiyo ya maoni inaweza kuharibu mazungumzo ya usuluhishi yanayoendelea hivi sasa baina ya serikali na vyama vya upinzani.
ikizingatiwa jana   chini Burundiwamepiga kura ya maoni kumruhusu Nkurunzinza kugombea tena kwa muhula mwengine.
Mazungumzo ya kutafuta suluhu nchini humo tangu kuzuka vurugu baada ya Rais Nkurunzinza kugombea urais kwa awamu ya tatu yameleta mvutano mkubwa baina ya pande hizo mbili hasimu.
Wakati kampeni za kura ya maoni zilizo fanyika tareh 17 Mei zikiendelea, vyama vya upinzani nchini humo vimelalamikia hatua hiyo na kudai kuwa ni kinyume cha katiba.

No comments

Powered by Blogger.