Harmonize athibitisha collabo na Mrisho Mpoto
Msanii wa bongo fleva Harmonize ambaye yupo kwenye kundi la wasafi likiongozwa na diamond platinum leo amethibitisha rasmi kufanya collabo na Mrisho Mpoto. Harmonize ameyasema hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram.
harmonize_tzBinafsi nikiionaga sura yako naona inaashiria Amani, Upendo, Furaha, Hekima, na Busara....!!! Naamini tupo wengi sana...!!! wenye mtazamo kama wangu wewe ni kama Nembo ya Tanzania kwani hata viongozi hujivunia uwepo wako katika Sanaa nichukue fursa hii kusema Asante sana....!!! Kwa kuniamini na kunipa nafasi ya kushiriki katika kazi yako #Mjomba @mrishompoto M/mungu akubariki sana....!!! hii nikama ndoto kwangu 🙏🙏 kama wewe ni mzalendo na unamkubali #Mjomba comment #Yess
Post a Comment