Klopp ashusha lawama kwa Ramos dhidi ya Mo Salah

kocha wa Liverpool Juergen Klopp hakufurahishwa na jinsi nahodha wa Liverpool Sergio Ramos alivyomtendea Mohamed Salah na kusababisha maumivu kwa mshambuliaji huyo wa Misri.
Klopp alielezea mpambano wa kumkamata mkono Salah kuwa kama "mieleka" kwa kiasi fulani. na kudokeza kuwa ulikuwa wakati muhimu ambapo Liverpool ilipoteza mchezo huo kwa mabao 3-1. Salah aliondoka uwanjani akidondokwa machozi kwakutomaliza dakika 90 za mchezo huo.
Post a Comment