Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Senegal, Alilou Cisse ametangaza majina
ya wachezaji 30 ya awali ambayo yatatoa wachezaji 23 kwa ajili ya timu
ya taifa itakayoshiriki michuano ya kombe la dunia mwaka huu.
Wachezaji wote wanatoka katika ligi kubwa za kulipwa barani Ulaya,
wakiongozwa na Sadio Mane (Liverpool), Mbaye Niang (Torino), Diafra
Sakho (Rennes), na Moussa Sow (Bursaspor), na Chiekhou Kouyate (West Ham
United) wote wameitwa.
Post a Comment