Header Ads

BannerFans.com

Wilshere alaani vikali kutoitwa kikosi cha wingereza

Machezaji Jack Wilshere ameandika katika ukurasa wake wa Twita akieleza kusikitishwa baada ya kutoitwa kwenye timu ya Uingereza itakayoshiriki kombe la dunia mwaka huu, akisisitiza kuwa angeweza kutoa mchango mkubwa sana.
Wilshere mwenye miaka 26, ameshiriki mechi 34 za timu ya taifa kwa nyakati tofauti

No comments

Powered by Blogger.