Simba ya ahaidi kuwapa raha mashabiki wake leo dhidi ya Gor mahia

mabingwa wasoka wa tanzania bara msimuhu wekundu wa msimbazi simba leo masaa machache wanajitupa uwanjani katika fainali dhidi ya Gor mahia katika michuano ya sport pesa inayo fanyika nchini kenya katika uwanja wa nakuruh. Simba ilianza michuano hiyo vyema kwa kuitoa K. Sharks ya nchini humo kwa mikwaju ya penalti na kisha kuitoa Kakamega home boyz kwa mikwaju ya penati na kutinga fainali.
simba leo inakibarua kigumu cha kuweza kuchukua kombe hilo la sport pesa iliaweze kwenda uingereza kukipiga na timu ya Evarton inayoshiriki ligi kuu nchini humo. hivyo macho na masikio ya watanzania wote yatakua nchini kenya kuingalia simba inavyo peperusha bendera ya taifa la Tanzania na kuwapa raha mashabiki wa soka chini humo.
Hataivyo wachezaji wa simba wameaidi kuwapa raha mashabiki wao pamoja na wanzania wote.
Post a Comment