Dimond akiri kubaniwa na Media nyingine
Msanii wa kizazi kimpya (Bongo fleva) Nasibu abdul (dimond) leo ameweka wazi chanzo cha kuanzisha channeli yake ya Wasafi tv ni kutokana na kubaniwa na vyombo vya habari vingine.
Ameyasema hayo wakati wakuitambulisha rasmi channeli yake ya wasafi Tv katika king'amuzi cha Star times namba 444katika ukumbi wa Sleep way akionge na wahandishi wa habari kuhusiana dhamira ya kuanzisha chombo hicho na kusisitiza Wasafi tv ni ya watanzania wote
Baada ya kuulizwa swali "sababu zipi zilizo pelekea kuanzisha Wasafi tv?"
Daimond alijibu moja ya sababu "nikuwapa na fasi wasanii wote ili kazizao zipatekuonekana na kuchezwa katika channeli hiyo ya Wasafi"
"kumekuwepo na baadhi ya vyombo vya habari kutocheza sanaa za badhi ya wasanii ikiwemo pamoja na mimi ivyo kupelekea hasira za mimi kufungua channeli hiyo nakukatiza ndoto za vijana wengi katika kazi zao zasanaa."
"pia ameweka wazi kuhusu kuanzishwa kwa tamasha jipya likijulikana kama Wasafi festival ambalo litajumuishawasanii kutoka nje ya kundi la WCB na ndani la kundi hilo na kusema lengo la tamasha hilo ni kutoa burudani ndani ya Dar es Saalam na nje ya mkoa huo na kuwainua Wasanii kiuchumi"
Post a Comment