Header Ads

BannerFans.com

FIFA YA TANGAZA MGAO KWA KILA MWANACHAMA WAKE




FIFA Logo (2010).svg





FIFA imetangaza mgawo wa Dola 6 milioni (zaidi ya Shilingi 13) bilioni kutoka Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kwa ajili ya maendeleo ya mpira wa miguu kwa kila chama cha soka. Mwenyekiti wa FIFA, Gianni Infantino amethibitisha hilo katika mkutano mkuu wa shirikisho hilo uliofanyika huu huko Moscow, Russia. Infantino ameahidi kuwa nchi zote 211 kila moja itapata mgawo huo kwa ajili ya kusaidia programu mbalimbali za maendeleo ya mchezo wa soka

No comments

Powered by Blogger.