Mwenda plusRead More
Ufaransa yatabiriwa makubwa Nusu fainali ya leo
Nusu ya fainali ya kwanza ya michuano ya Kombe la Dunia nchini Urusi inaanza leo kwa mchezo mmoja kupigwa katika Uwanja wa Saint Petersburg ...Read More
Wahamiaji 100 wafa maji Mediteranea
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR, limesikitishwa na janga la hivi karibuni zaidi la watu wapatao 100 kuzama na kufa...Read More
Singida utd yaongeza silaaha Tatu
K labu ya Singida United imeshusha silaha zingine tatu zilizoanza kazi katika michuano ya KAGAME CUP jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar...Read More
Feisal Toto aitosa yanga aelekea Singida
Mchezaji wa klabu ya JKU, Feisal Salum, maarufu kama Fei Toto, amefunguka na kueleza kuwa anaweza akaelekea Singida United endapo viongozi...Read More
Baada ya kumpindua Mugabe,Mnangawgwa rasmi atua Dar es salaam jana
Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa yuko Dar es salaam katika ziara ya kwanza nchini humo tangu aingie madarakani. Ni ziara ya siku mbili...Read More
Hatma ya Messi iko mikononi mwanageria leo
Michuano ya Kombe la Dunia imezidi kuelekea patamu ambapo leo jumla ya mechi nne zitakuwa zinawasha viwanja moto nchini Urusi. Croatia am...Read More
Algeria ya watelekeza wahamiaji
Katika miezi 14 iliyopita, Algeria imewatelekeza wahamiaji wapatao 13,000 miongoni mwao wanawake waja wazito na watoto. Mamia ya wahamiaji...Read More
kijana afunga ndoa na wanawake wawili wakati mmoja
Kijana mmoja raia wa Somalia ambaye alioa wanawake wawili usiku mmoja ameambia BBC kwamba atawashawishi wanaume wengine kufanya hivyo. B...Read More
Pascal Wawa yuko mbioni kusaini Simba
Inaelezwa kuwa nyota na beki wa zamani wa Azam FC kutoka Ivory Coast, Pascal Wawa ameshatua jijini Dar es Salaam. Mchezaji huyo amewasil...Read More
Roger federer ashuka kiwango cha tennis
Kutokana na kufungwa jana kwenye mechi ya fainali katika mashindano ya Halle ya Ujerumani, Roger Federer wa Uswisi anashuka kutoka nafas...Read More
ErdoÄŸan ashinda kiti cha urais kwa mara ya pili chini uturuki
Tume ya uchaguzi nchini Uturuki imemtangaza Rais Recep Tayyip Erdogan kama mshindi wa nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu uliofanyika June...Read More
SIMBA YA PINDUA MEZA KIBABE KWA MO IBRAHIM
KIUNGO mchezeshaji wa Simba anayesifika kwa mashuti ya mbali, Mohamed Ibrahim ‘Mo Ibra’ rasmi anasaini mkataba wa kuendelea kuichezea timu h...Read More
BOCCO ANYAKUA SH MILIONI 12 KAMA MCHEZAJI BORA WA MSIMU
Mshambuliaji wa klabu ya Simba, John Bocco, ameibuka mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2017/18. Bocco ame...Read More
Rais wa zamani wa FIFA, Blatter ahudhuria kombe la dunia licha ya kufungiwa
Licha ya kupewa adhabu ya kutotakiwa kujihusisha na mchezo wa soka kwa miaka 6, na uchunguzi ukiendelea dhidi yake, Rais wa zamani ...Read More
Marekani yajitoa kwenye Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa
Balozi wa Marekani kwenye Umoja wa Mataifa Bibi Nikki Haley ametangaza kuwa Marekani itajitoa kwenye Baraza la Haki za Binadamu la Umoj...Read More
Subscribe to:
Comments
(
Atom
)